Demetra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Demetra
Mungu wa Kike wa Kilimo, Mimea na Mavuno
MakaoMlima Olimpos
AlamaKurunzi, Simba, Kornukopia na Miganda ya Ngano
WazaziKrono na Rea
NduguZeu, Hade, Hera, Poseidoni, Hestia, Khironi
WatotoPersefona, Arioni
Ulinganifu wa KirumiCeres

Demetra (Kigiriki: Δήμητρα, Dḗmētra au Δημήτηρ, Dēmḗtēr; Kiatika: Δημήτηρ, Dēmētēr; Kidoriki: Δαμάτηρ, Dāmātēr) alikuwa mama wa Persefona na mungu wa kike wa kilimo, mimea na mavuno katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Ceres katika dini ya Roma ya Kale.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.