Athena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Athena
Athena Parthenos Altemps Inv8622.jpg
Mungu wa Kike wa Busara na Hekima
Makao Mlima Olimpos
Alama Bundi, Mzeituni, Nyoka, Egida, Deraya, Helmeti na Mkuki
Wazazi Zeu na Meti
Ulinganifu wa Kirumi Minerva

Athena (Kiatika: Ἀθηνᾶ, Athēnā au Ἀθηναία, Athēnaia; Kihomeri: Ἀθηναίη, Athēnaiē; Kiionia: Ἀθήνη, Athēnē; Kidoriki: Ἀθάνα, Athana) alikuwa binti wa Zeu na Meti. Katika mitholojia ya Kigiriki alikuwa mungu wa kike wa busara na hekima. Analingana na Minerva katika dini ya Roma ya Kale.

Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Athena kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.