Afrodita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Afrodita
Mungu wa Kike wa Upendo na Uzuri
MakaoMlima Olimpos
AlamaPomboo, Waridi, Mirtia, Njiwa, Shomoro, Kibwebwe, Kioo na Bata-maji
MwenziHefaisto, Ares, Poseidoni, Herme, Dioniso, Adoni, na Ankhise
WazaziUrano au Zeu na Diona
NduguNimfa wa Miti, Furia Watatu na Giganti
WatotoEros, Fobo, Deimo, Harmonia, Potho, Anteros, Himeros, Hermafrodito, Rhode, Eriksi, Peitho, Tikha, Eunomia, Priapo na Ainea
Ulinganifu wa KirumiVenusi

Afrodita (pia anaitwa kwa Kigiriki: Ἀφροδίτη, Afrodite) ni mungu wa kike wa upendo na uzuri katika mitholojia ya Kigiriki. Analingana na Venusi katika dini ya Roma ya Kale.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.