Giza
Giza inaweza kumaanisha
- hali pasipo na nuru
- hali ya kutojua, kutoelewa au kutoamini ("wako gizani juu ya jambo hili")
- mji wa Giza (Misri) na mji mkuu wa mkoa wa Giza nchini Misri penye piramidi mashuhuri karibu na mji mkuu Kairo
Giza inaweza kumaanisha
![]() |
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana
Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja. |