Sekondino wa Apulia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sekondino wa Apulia (aliishi karne ya 5) alipata kuwa askofu wa Troia, mji wa Italia Kusini, akitokea Afrika Kaskazini kutokana na dhuluma za Waario dhidi ya Wakatoliki[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.