Theonas wa Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theonas wa Misri (alifariki 395) ni kati ya wamonaki walioishi vizuri imani yao jangwani.

Tangu kale wanaheshimiwa kama mtakatifu lakini haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Aprili[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.