Wiliamu Saggiano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wiliamu Saggiano, O. de M. alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye alikwenda Algeria kukomboa watumwa akachomwa moto kwa ajili ya imani yake.

Mwenye asili ya Ancona (Marche, Italia), alikulia Ufaransa Kusini. Alipofiwa ndugu zake, alijiunga na shirika.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wiliamu Saggiano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.