Agripino wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Agripino wa Aleksandria (alifariki 12 Februari 178) alikuwa patriarki wa 10 wa Aleksandria, Misri, kuanzia mwaka 167[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. https://dacb.org/stories/egypt/agrippinus-alex/
  2. "Lives of Saints :: Amshir 5". www.copticchurch.net. Iliwekwa mnamo 2018-03-14. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.