Nenda kwa yaliyomo

Eumeni wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eumeni wa Aleksandria (pia: Eumenes, Emenaios; alifariki 19 Oktoba 141) ni kati ya maaskofu wa Aleksandria, Misri (tangu mwaka 129 hadi kifo chake)[1].

Alituma maaskofu wamisionari hadi Nubia na Libya.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba au 7 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.