Nenda kwa yaliyomo

Dativa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dativa wa Vita ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario.

Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.[1]

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Desemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ambrasi, Domenico (1 Feb 2001). "Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo Martiri". Santi e beati. Iliwekwa mnamo Februari 18, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://catholicsaints.info/saint-dativa-the-martyr/

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.