Nenda kwa yaliyomo

Masimo na Domasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Masimo na Domasi (walifariki 380) walikuwa watoto wa gavana Valentiniani aliyewalea Kikristo[1].

Baada ya kwenda Nisea (leo nchini Uturuki)[2][3] walihamia Siria kama wamonaki na hatimaye jangwani Misri karibu na Makari Mkuu[4][5][6][7].

Walikuwa wa kwanza kufariki huko Skete[5] na Makari alijenga kanisa la kwanza huko jangwani pale walipokuwa wanaishi.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakopti kama watakatifu[8][5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-29. Iliwekwa mnamo 2020-02-22.
  2. "القديسين الروميين مكسيموس و دوماديوس (14و17 طوبة)".
  3. Robert. "القديسان دوماديوس ومكسيموس - مسيحى دوت كوم". mase7y.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-22. Iliwekwa mnamo 2020-02-22.
  4. "Copts United - الأقباط متحدون - منطقة وادي النطرون.. كنز من الآثار القبطية2/2". www.copts-united.com.
  5. 5.0 5.1 5.2 "Maximus & Domatius". www.copticchurch.net.
  6. "القديسون الأرثوذكسيون - القديسان الباران مكسيموس ودوماديوس ولدا الملك‎ ‎‏(القرن4م)". www.orthodox-saints.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-28. Iliwekwa mnamo 2020-02-22.
  7. http://www.st-mary-alsourian.com/index.php?option=com_content&view=article&id=4481:the-departure-of-st-maximus-and-st-domatius-domadius&catid=79&lang=en&Itemid=290
  8. https://www.roger-pearse.com/weblog/wp-content/uploads/2016/04/Maximus-and-Domitius_Alcock_2016.pdf
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.