Juliani na Eunus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juliani na Eunus (walifariki 251 hivi) walikuwa Wakristo wa Aleksandria (Misri).

Baada ya kupigwa kwa imani yao, waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Habari zao, za askari Besas aliyejaribu kuwatetea na za wafiadini wengine kumi zimesimuliwa na barua ya Dionisi wa Aleksandria kwa Fabiani wa Antiokia.

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 27 Februari au 30 Oktoba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juliani na Eunus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.