Fausto, Kayo na wenzao
Mandhari
Fausto, Kaio na wenzao Petro, Paulo, Eusebi, Keremone, Lucho na wengine wawili (walifariki 250-260) walikuwa Wakristo wa Misri walioteseka sana kwa ajili ya imani yao pamoja na askofu Dionisi chini ya gavana Emiliani katika dhuluma ya makaisari Decius na Valerian[1]. Fausto hatimaye aliuawa[2].
Shemasi Eusebi akawa askofu wa Laodikea.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[3][4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |