Kwartilosa na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwartilosa (alifariki 258 hivi) alikuwa Mkristo wa Karthago (katika Tunisia ya leo) aliyeuawa, pamoja na mume wake na mtoto wake ambao majina yao hayakumbukwi, katika dhuluma ya kaisari Valerian.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 29 Desemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]