Nenda kwa yaliyomo

Gebre Menfes Kidus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gabra Manfas Qeddus akifunikwa na nywele zake tu.

Gebre Menfes Kidus (kwa Ge'ez: ገብረ መንፈስ ቅዱስ; pia: Abo tu) alikuwa mmonaki wa Misri aliyekwenda Ethiopia na kuanzisha monasteri ya Mlima Zuqualla.

Hayajulikani mengi ya hakika kuhusu historia yake[1], ila tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa siku ya tano ya kila mwezi[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. In his book "Vita Omelia Miracoli" del Santo Gebre Menfes Kidus (Lovanii, 2003) Paolo Marrassini extensively treats diverse Ethiopian manuscripts dealing with Gebre Menfes Kidus. Marrassini offers a translation of various texts about the life of this saint, a homily about his youth, and texts about the miracles Gebre Menfes Kidus is said to have performed during his lifetime.
  2. Donald N. Levine, Wax and Gold: Tradition and Innovation in Ethiopia Culture (Chicago: University Press, 1972), p. 73

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Ethiopian Saints. The Coptic encyclopedia, Volume 2 (Claremont Colleges Digital Library). 1991.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.