Nenda kwa yaliyomo

Klaudiani, Sipriani na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klaudiani, Sipriani na wenzao Donati, Felisi, Januari, Juliani, Lusiani, Marsiani, Marsiali, Petro, Kwiriani, Vikta na Vitalis ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Novemba[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.