Tersyo wa Byzacena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tersyo wa Byzacena alikuwa mmonaki wa karne ya 5. Ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario.

Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.[1]

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ambrasi, Domenico (1 Feb 2001). Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo Martiri. Santi e beati. Iliwekwa mnamo February 18, 2009.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tersyo wa Byzacena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.