Nenda kwa yaliyomo

Amma Talida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amma Talida (yaani Mama Talida) alikuwa bikira abesi wa monasteri huko Antinoe (Misri).

Palladius (aliyefariki 431) aliandika vizuri sana juu yake baada ya kumfahamu akiwa mzee wa miaka 80 na kuongoza masista 60 hivi.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.