Matthew Ayariga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matthew Ayariga alikuwa Mkristo kutoka Ghana[1][2][3][4][5][6][7] ambaye, pamoja na Wakopti 20 kutoka Misri[8], alitekwa na Waislamu wenye itikadi kali wa Daish huko Sirte, Libya, alipokuwa anafanya kazi ya ujenzi mnamo 27 Desemba 2014 au Januari 2015.[9]

Hatimaye waliuawa wote pamoja kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao[10][11][12][13][14], kama ilivyoonyeshwa katika video tarehe 15 Februari 2015[15]. Kifo chao kilithibishwa na serikali na Kanisa[16].

Tarehe 21 Februari 2015 Patriarki Tawadros II wa Alexandria aliwatangaza kuwa watakatifu[17].

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe ya kifodini chao, 15 Februari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Martin Mosebach aliandika kitabu juu yao: The 21 - A Journey into the Land of Coptic Martyrs.[18]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ghanaian beheaded in Libya?. Iliwekwa mnamo 30 May 2017.
  2. Libya's Mystery Beach and the 21st Victim - TalkLeft: The Politics Of Crime. Iliwekwa mnamo 30 May 2017.
  3. "February anniversary of the brutal murder of 21 Coptic Christians in Libya one year ago.", DavidAlton.net, 2016-02-12. (en-US) 
  4. "Ghanaian Christian Among Those Beheaded By ISIS". 
  5. Online., Herald Malaysia. The bodies of the Coptic Martyrs beheaded by Isis found in Libya.
  6. Ghanaian beheaded in Libya? (en).
  7. "CRISTIANI COPTI DECAPITATI DALL'ISIS/ Sirte, rinvenuti 21 corpi in una fossa comune", Il Sussidiario.net. Retrieved on 2020-02-14. Archived from the original on 2018-02-13. 
  8. Thousands mourn Egyptian victims of Islamic State in disbelief. Reuters (16 Feb 2015). Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-25. Iliwekwa mnamo 26 Feb 2015.
  9. ISIL video shows Christian Egyptians beheaded in Libya. Al Jazeera (16 Feb 2015). Iliwekwa mnamo 16 Feb 2015.
  10. Later, when one of the perpetrators of the operation was arrested, he admitted in the investigation that the slaughter had taken place at the beach opposite Al Mahary Hotel in Sirte.ليبيا.. اعترافات مثيرة للشاهد على ذبح الأقباط (ar).
  11. ""البنيان المرصوص" تكشف التفاصيل الكاملة لذبح الأقباط المصريين في ليبيا", 2017-10-07. 
  12. "داعشى يعترف بالتفاصيل الكاملة لاغتيال المصريين فى سرت الليبية بعد القبض عليه.. الإرهابى أبو عامر الجزراوى قاد المجموعة المجرمة.. وعناصر من تونس وليبيا شاركت فى الجريمة النكراء.. والسلطات تستخرج رفات الضحايا - اليوم السابع", اليوم السابع, 2017-10-07. (ar-Ar) 
  13. "بالصور.. التفاصيل الكاملة لقصة ذبح الأقباط المصريين في سرت الليبية", إرم نيوز. Retrieved on 2020-02-14. (ar-AR) Archived from the original on 2018-02-13. 
  14. "بعد العثور على رفات الضحايا.. تفاصيل ذبح المصريين بليبيا", البوابة نيوز. 
  15. Raman Media network: "ISIS Video Shows Mass Beheading of Christian Hostages" by Rakash Raman February 16, 2015
  16. Mahmoud Mostafa. "Libyan parliament confirms death of 21 kidnapped Coptic Egyptians", February 14, 2015. Retrieved on 16 Feb 2015. Archived from the original on February 15, 2015. 
  17. Coptic Church Recognizes Martyrdom of 21 Coptic Christians (21 February 2015). Iliwekwa mnamo 21 February 2015.
  18. Lots of Coptic clergy were rubbing shoulders with members of the Bruderhof (en).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.