Agatho wa Aleksandria (mfiadini)
Mandhari
Agatho wa Aleksandria (mfiadini) (alifariki 250) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].
Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Desemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Soldier in Alexandria, Egypt. When he prevented a mob of pagans from desecrating the bodies of Christian martyrs killed in the persecutions of Decius, the mob dragged him to court where he confessed to being a Christian himself.
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-agatho-of-alexandria/
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |