Wafiadini wa Kosheh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Kosheh ni Wakopti 21 waliouawa na Waislamu wenye itikadi kali kwa ajili ya imani yao ya Kikristo katika mji huo wa Misri ya Kati miaka 1998-2000[1].

Wanaheshimiwa na Kanisa la Kikopti kama watakatifu wafiadini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. A book entitled Massacre at the Millennium was published in 2001 by Freedom House documenting the events.
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.