Isidora Mpumbavu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Isidora.

Isidora Mpumbavu (baada ya 300 - kabla ya 365) alikuwa bikira wa Misri aliyejiunga na monasteri ya Tabenna alipotenda kama kwamba ni kichaa.[1] [2]

Habari zake zimeripotiwa hasa katika kitabu Historia Lausiaca[3] kilichoandikwa na Palladius wa Galatia miaka 419-420.

Mfano wake wa kujinyenyekesha uliathiri sana Mababu wa jangwani na vizazi vilivyofuata, hasa Urusi.[4]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Mei.[5]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The Orthodox Church in America, Lives of the Saints
  2. While very little is known of Isidora’s life, she is remembered for her exemplification of the writing of St. Paul that “Whosoever of you believes that he is wise by the measure of this world, may he become a fool, so as to become truly wise.” Bible Commentary 1 Corinthians 3:18-19
  3. Tertullian, Text of the Lausiac History, Chapter 34
  4. Tertullian, Text of the Lausiac History, Chapter 34
  5. Ἡ Ὁσία Ἰσιδώρα ἡ διὰ Χριστὸν Σαλή. 1 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.