Kichaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kichaa (kwa Kiingereza: "insanity" [1]) ni wigo wa tabia fulani isiyo ya kaida inayoambatana na matatizo ya akili.

Kichaa ni ugonjwa unaowapata sana wanyama na binadamu.

Kati ya sababu za ugonjwa huo kuna matumizi ya madawa ya kulevya.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Rod of Asclepius2.svg Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichaa kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.