Nenda kwa yaliyomo

Emilia wa Vialar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Emilia wa Vialar.
Masalia yake huko Gaillac.

Emilia wa Vialar (kwa Kifaransa Émilie de Vialar, 12 Septemba 179724 Agosti 1856) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha na kueneza kwa bidii shirika la kimisionari la Masista wa Mt. Yosefu wa Njozi kutoka Ulaya hadi Afrika, Asia na Australia[1].

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI tarehe 18 Juni 1939, halafu mtakatifu na Papa Pius XII tarehe 24 Juni 1951.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Agosti[2].

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • Relationship of Grace, written at the request of her confessor in 1842
  • Spirit and rules of the Congregation - 1841

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.