Petro na Afrodisi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Afrodisi wa Afrika Kaskazini)
Petro na Afrodisi (walifariki karne ya 5) ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kikatili sana na Wavandali kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario dhidi ya Wakatoliki.
Habari za wengi wao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Machi[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |