Besarioni wa Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Besarioni wa Misri alikuwa mmonaki Mkristo kati ya karne ya 4 na ya 5 BK.

Anahesabiwa kati ya mababu wa jangwani, kwa kuwa aliishi bila makao maalumu katika Wadi el-Natrun (Scete au Nitria)[1].

Habari zake zinajulikana kupitia kitabu cha Misemo ya Mababa wa Jangwani.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni, lakini pia 17 Juni au 17 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo kwa Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?FSID=101631
  2. https://catholicsaints.info/saint-bessarion-of-egypt/
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Besarioni wa Misri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.