Thea wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thea wa Aleksandria (alizaliwa Gaza, Palestina, karne ya 3 - alifariki Aleksandria, Misri, 307) ni kati ya Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Maximinus II.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia ya bikira huyo, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira na mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Desemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.