Ambrosi wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Adrioni (alifariki Aleksandria, Misri, 250 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo aliyefungwa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Maksimini.

Mtu tajiri, alimsaidia Origen kwa mali yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Machi[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.