Masimo wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Masimo wa Aleksandria (alifariki 22 Aprili 282) alikuwa askofu wa mji huo wa Misri.

Alipokuwa padri alikwenda uhamishoni na askofu Dionisi wa Aleksandria, halafu akawa mwandamizi wake kama Patriarki (9 Novemba 264 - 22 Aprili 282).

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Aprili, lakini pia tarehe 9 Aprili na zamani 27 Desemba[1][2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.boston-catholic-journal.com/roman-martrylogy-in-english/roman-martyrology-december-in-english.htm#December_27th
  2. https://catholicsaints.info/saint-maximus-of-alexandria-27-december/

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masimo wa Aleksandria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.