Nenda kwa yaliyomo

Eufrasi na Klarus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eufrasi na Klarus (walifariki karne ya 5) ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliouawa kwa ajili ya imani yao ya Kikatoliki katika dhuluma ya wafalme Wavandali[1].

Eufrasi alikuwa askofu na Klarus shemasi wake.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.