Fermo wa Karthago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fermo wa Karthago (alifariki 250 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo wa Tunisia ya leo aliyeachwa bila chakula hadi kufa wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Agosti.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.