Wafiadini wa gonjwa la Sipriani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa gonjwa la Sipriani (walifariki 249-262 hivi) ni kundi la Wakristo wa Aleksandria (Misri) waliokufa kwa gonjwa hilo kutokana na huduma wananchi waliokuwa wamepatwa nalo wakati wa utawala wa kaisari Galieno.

Hao mapadri, mashemasi na waamini wengine wengi wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi tangu kale kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Februari[1][2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.