Nenda kwa yaliyomo

Marko, Marsiano na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marko, Marsiano na wenzao ni kati ya Wakristo wa Aleksandria, Misri, waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Oktoba[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.