Sabino wa Minya
Mandhari
Sabino wa Minya (pia: Abibus, Phanas wa Hermopoli; alifariki 287 au 307) alikuwa Mkristo wa Misri[1].
Baada ya kuteswa kikatili kwa imani yake, aliuawa kwa kutupwa mtoni huko Minya[2].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 13 Machi[3][4], lakini pia 16 Machi (Waorthodoksi) na 20 Februari (Wakhufti).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Born to the nobility, he lived in Hermopolis (modern Al-Ashmunayn), Egypt. With other Christians, he retreated into the wilderness to escape the persecutions of Diocletian, but was betrayed to the authorities by a beggar he had helped.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92505
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-sabinus-of-egypt/
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |