Agatoni mkaapweke
Mandhari
Agatoni mkaapweke (karne ya 4) alikuwa mfuasi wa Antoni Mkuu anayehesabiwa na Kanisa kuwa baba wa umonaki, ingawa kihistoria si wa kwanza kushika mtindo huo wa maisha katika Ukristo.
Anaheshimiwa tangu zamani sana kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 21 Oktoba kila mwaka.
Vyanzo kwa Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Misemo ya Mababa wa Jangwani (Apophthegmata Patrum) – tafsiri ya W. Ngowi, O.F.M.Cap. – ed. Salvatorianum – Morogoro 2000 –ISBN 0-264-66350-0
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa jangwani
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |