Kalojero wa Sisilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya Mt. Kalojero huko Agrigento.

Kalojero (kwa Kigiriki "mzee mzuri", yaani mkaapweke), alikuwa mmonaki kutoka Kalsedonia, leo nchini Uturuki, alipozaliwa na Wakristo mwaka 466 hivi.

Alijisikia wito wa kuinjilisha kisiwa cha Sicilia.

Alifariki Monte Kronio, karibu na Sciacca, usiku kati ya tarehe 17 na 18 Juni 561.

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]


Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kalojero wa Sisilia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.