Oktavi, Solutori na Aventori
Mandhari
Oktavi, Solutori na Aventori (walifariki Torino, Italia, 297 hivi) ni Wakristo waliofia dini yao kama alivyosimulia askofu Masimo wa Torino[1][2][3].
Inasimuliwa kwamba walikuwa askari wa Kikosi cha Thebe kutoka Misri.
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 20 Novemba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |