Masimo wa Torino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya Mt. Masimo katika mavazi ya ibada ya Kiaskofu.

Masimo wa Torino (labda 380 hivi – 420 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki na mwanateolojia kutoka Italia Kaskazini.

Mwanafunzi wa watakatifu Eusebi wa Vercelli na Ambrosi wa Milano, alipata kuwa askofu wa Torino, Italia, kwa miaka 30 hivi, tena ndiye wa kwanza kujulikana katika ya maaskofu wake.

Pia alitunga hotuba mia kadhaa[1] na vitabu sita.

Ingawa maisha yake hayajulikani sana, huyo babu wa Kanisa anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Corpus Christianorum Series Latina n° XXIII, Turnhout, 1962.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Masimo wa Torino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.