Achilas wa Aleksandria
Mandhari
Achilas wa Aleksandria au Achilas Mkuu[1] alikuwa Patriarki wa 18 wa Aleksandria (Misri) alipokuwa amezaliwa katika karne ya 3.
Alipata umaarufu kwa imani, ujuzi na maadili yake. Ndiyo sababu Theonas wa Aleksandria alimpa upadirisho na kumfanya mkuu wa Chuo cha Aleksandria baada ya Pierio kuhama [2].
Kwa pendekezo la mfiadini Petro I wa Aleksandria, alitawazwa kuwa mwandamizi wake kama Patriarki tarehe 24 Desemba 312[3] Baada ya kumrudisha Ario katika nafasi ya padri na mhubiri kwa kudhani ametubu, alifariki tarehe 26 Juni 313.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Wakopti kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Atiya, Aziz S.. The Coptic Encyclopedia. New York:Macmillan Publishing Company, 1991. ISBN|0-02-897025-X.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/57020
- ↑ Monks of Ramsgate. “Achillas”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 30 April 2012
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://catholicsaints.info/blessed-achilleo-of-alexandria/
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- "Achillas (311–313)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-08.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |