Valeriano wa Avensano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Valeriano wa Avensano (377 hiv - 457) alikuwa askofu wa Afrika Kaskazini katika karne V, ambaye pamoja na maaskofu wenzake 8 alifukuzwa na mfalme Genseriko wa Wavandali kwa amri ya kwamba mtu yeyote asimkaribishe nyumbani wala shambani.

Kwa hiyo alilala barabarani ingawa alikuwa na umri wa miaka 80.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 15 Desemba, lakini pia 28 Novemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valeriano wa Avensano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.