Yohane wa Matha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Yohane wa Matha
Sanamu ya mkaapweke Felix wa Valois pamoja na mwanafunzi wake Yohane wa Matha. Charles Bridge, Prague.

Yohane wa Matha (Faucon-de-Barcelonnette,[1] Ufaransa, 23 Juni 1154 - Roma (Italia) 17 Desemba 1213) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa mwanzilishi wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani.

Heshima aliyopewa kama mtakatifu iliidhinishwa na Papa Alexander VII tarehe 21 Oktoba 1666.

Sikukuu yake ni tarehe 17 Desemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] Diocèse catholique de Digne: Situé près de Barcelonnette, Faucon est le village de naissance de Saint Jean de Matha, fondateur de l'ordre des Trinitaires en 1193. À l’altitude de 1150 mètres, c'est le plus vieux village de la vallée de l'Ubaye.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane wa Matha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.