Felisi wa Valois
Mandhari
Felisi wa Valois, O.Ss.T. (Amiens, Ufaransa, 9 Aprili 1127 - Cerfroid, Ufaransa, 4 Novemba 1212) alikuwa kabaila ambaye aliacha mali yake awe padri wa Kanisa Katoliki, halafu mkaapweke[1], na hatimaye, pamoja na Yohane wa Matha. mwanzilishi mwenza wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani[2].
Papa Aleksanda VII alimtangaza mwenye heri tarehe 21 Oktoba 1666[3] , halafu Papa Inosenti XI alimtangaza mtakatifu mwaka 1694.
Sikukuu yake ni tarehe 4 Novemba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""About the Trinitarians", The Trinitarians". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-02-03. Iliwekwa mnamo 2013-04-27.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/78450
- ↑ "Patron Saints Index: "Saint Felix of Valois"". Saints.sqpn.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-21. Iliwekwa mnamo 2013-10-20.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- (Kilatini) Monumenta Germaniae Historica, Scriptores, tomus XIII.
- (Kilatini) Chronique de Robert de Torigni, abbé du Mont-Saint-Michel.
- (Kilatini) Ordericus Vitalis, Historia Ecclesiastica, vol. II.
- (Kilatini) Orderic Vitalis (Prévost), Vol. III.
- (Kilatini) Recueil des chartes de l'abbaye de Cluny. Tome 5.
- (Kilatini) Obituaires de la province de Sens. Tome 1,Partie 1.
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- (Kiitalia) Louis Alphen, La Francia: Luigi VI e Luigi VII (1108-1180), in «Storia del mondo medievale», vol. V, 1999, pp. 705–739
- (Kiingereza) Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints, 1924.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Catholic Encyclopedia: St. Felix of Valois
- Catholic Encyclopedia: Order of Trinitarians
- The Trinitarians Archived 2019-02-03 at the Wayback Machine
- Catholic Online - Saints & Angels: St. Felix of Valois
- Summary of the Trinitarian Fathers (Kifaransa)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |