Mali (uchumi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Majengo na magari ni kati ya mali ya kawaida siku hizi.

Mali (kutoka neno la Kiarabu) katika uchumi linamaanisha chochote kile chenye thamani kilicho chini ya mamlaka ya mtu, kikundi, taasisi au umma kama mmiliki wake[1][2] .

Pia ni bidhaa alizonunua mfanyabiashara kwa lengo la kuziuza tena.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Powell, Richard R. (2009). "2.02". Katika Wolf, Michael Alan. Powell on Real Property. New Providence, NJ. ISBN 9781579111588. 
  2. Gregory, Paul R.; Stuart, Robert C. (2003). Comparing Economic Systems in the Twenty-First Century. Boston: Houghton Mifflin. uk. 27. ISBN 0-618-26181-8. There are three broad forms of property ownership-private, public, and collective (cooperative). 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mali (uchumi) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.