Nenda kwa yaliyomo

Makari wa Libya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makari wa Libya (alifia dini 250 hivi) alikuwa Mkristo mwenye asili ya Libya ambaye alichomwa moto huko Aleksandria (Misri) kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Desemba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.