Wafiadini Wamersedari wa Damieta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini Wamersedari wa Damieta (walifariki 1250 hivi) walikuwa Wakristo watatu waliouawa na Waislamu kwa ajili ya imani yao katika mji huo wa Misri wakati wa vita vya msalaba vya saba.

Walipokamatwa walikuwa wamejitosa kuwahudumia askari waliopatwa na tauni[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.