Petro Kamino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Petro Kamino, O. de M. (alifia dini Tunisi, 1284) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa, ambaye alikwenda Tunisia kukomboa watumwa akanyofolewa macho na hatimaye kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yake.

Anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.