Jovenale wa Narni
Mandhari
Jovenale wa Narni (alifariki Narni, Umbria, 369/377) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo (Italia ya Kati)[1][2][3].
Inasemekana alikuwa na asili ya Afrika Kaskazini akapewa uaskofu na Papa Damaso I.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Mei [5]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (Kiingereza) Saint of the Day, May 3: Juvenal of Narni Ilihifadhiwa 8 Januari 2020 kwenye Wayback Machine. SaintPatrickDC.org. Retrieved March 6, 2012.
- ↑ (Kigiriki) Ὁ Ἅγιος Ἰουβενάλιος Ἐπίσκοπος Ναρνί. 3 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑ (Kiitalia) http://www.santiebeati.it/dettaglio/51700
- ↑ Saint Gregory the Great in his Dialogues (IV, 12) and in his Homiliae in Evangelium speaks of a bishop of Narni named Juvenal, and describes him as a martyr. However, sometimes the title of martyr was given to bishops who did not necessarily die for their faith. Gregory also mentions a sepulcher associated with Juvenal at Narni.
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |