Nenda kwa yaliyomo

Theodoro wa Kurene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodoro wa Kurene (alifariki 310 hivi) alikuwa Askofu wa Kurene (katika Libya ya leo) aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Julai[1].

Inawezekana na yuleyule anaheshimiwa tarehe hiyohiyo kwa jina la Theodoto wa Libya.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.