Fronto na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Frontoni abati (alifariki karne ya 2 au ya 4) alikuwa Mkristo wa Misri ambaye alikwenda kuishi jangwani inaposemekana aliuawa pamoja na wenzake 70[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 14 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.