Ruma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mchoro mdogo katika Menologion of Basil II ukionyesha Aretha alivyokatwa kichwa.

Ruma alikuwa mwanamke Mkristo aliyefia dini yake pamoja na mume wake Aretha, mabinti wao wanne na wenzao walau 335, 4,000 kama si 20,000 huko Najran (leo nchini Saudia) mwaka 523, wakati wa dhuluma ya mfalme Dhu Nuwas aliyekuwa ameongokea dini ya Uyahudi .[1][2].

Kifodini cha watu hao, wengi wenye asili ya Ethiopia, kinajulikana kupitia Acta S. Arethae (pia: Martyrium sancti Arethae au Martyrium Arethae)[3][4][5]

Kurani inalaani dhuluma hiyo katika sura LXXXV:4-8.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini[6].

Sikukuu yake na ya wenzake huadhimishwa nao tarehe 24 Oktoba [7].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. R. Fulton Holtzclaw (1980). The Saints go marching in : a one volume hagiography of Africans, or descendants of Africans, who have been canonized by the church, including three of the early popes. Shaker Heights, OH: Keeble Press, 120. OCLC 6081480. “Najran, in Yemen, was the scene, in 523, of a massacre of Ethiopians and other Christians by Jews and Arabs. A leader among the victims was the chief of the Bono Horith, St. Aretas (see: Elesbaan).” 
  2. Vincent J. O'Malley (2001). Saints of Africa. Our Sunday Visitor Publishing. ISBN 0-87973-373-X. 
  3. Paolo Marrassini, "Frustula nagranitica" Aethiopica 14 (2011): 7-32
  4. Alessandro Bausi and Alessandro Gori 2006, Tradizioni orientali del ‘Martirio di Areta’. La Prima recensione araba e la Versione etiopica. Edizione critica e traduzione … Presentazione di Paolo Marrassini = Quaderni di Semitistica 27, Firenze: Dipartimento di Linguistica, Università degli Studi
  5. Marina Detoraki and J.Beaucamp, 2007, Le martyre de saint Aréthas et de ses compagnons (BHG 166), édition critique, étude et annotation Marina Detoraki, traduction par Joëlle Beaucamp, appendice sur les versions orientales par André Binggeli = Collège de France – CNRS, Centre de recherche, d’histoire et de civilisation de Byzance, Travaux et Mémoires – Monographies 27, Le massacre de Najrân. Religion et politique en Arabie du Sud au VIe siècle I, Paris: Association des amis du Centre d’histoire et de civilisation de Byzance.
  6. SQPN Saints
  7. Protection of the Mother of God Church, List of Saints
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.